Hili hapa tangazo la Walioitwa kwenye Usaili Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Afya na MDAs & LGAs inawatangazia waombaji kazi waliotajwa kuhudhuria usaili kuanzia 10–26 Agosti 2025.
Maelezo kwa wasailiwa
- Fika siku ya usaili ukiwa na barakoa na kitambulisho halali (NIDA, kura, uraia, kazi, leseni ya udereva, pasipoti au barua ya serikali ya mtaa/kijiji).
- Leta vyeti halisi (kuzaliwa, elimu – Kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Shahada n.k.) kulingana na sifa ya kada uliyoiomba.
- Testimonials, provisional results, statement of results na result slips za Kidato cha IV & VI hazitakubaliwa.
- Gharama za chakula, usafiri na malazi ni za msailiwa mwenyewe.
- Waliomaliza masomo nje ya nchi wahakikishe vyeti vimehakikiwa na TCU, NACTVET au NECTA.
- Kwa kada zinazohitaji usajili wa kitaaluma, leta vyeti halisi vya usajili na leseni ya kazi.
- Ingia kwenye akaunti yako ya Ajira Portal ili kunakili namba ya mtihani kabla ya siku ya usaili.
- Wenye majina yanayotofautiana kwenye nyaraka wawasilishe Deed Poll iliyosajiliwa.
Ratiba ya Usaili wa vitendo
Dereva Daraja la II – MDAs & LGAs
VETA Kihonda – Morogoro
- 11/08/2025: Serial No. 1–60
- 12/08/2025: Serial No. 61–120
- 13/08/2025: Serial No. 121–180
- 14/08/2025: Serial No. 181–240
- 15/08/2025: Serial No. 241–306
Fundi Sanifu Ujenzi II – Wizara ya Afya
VETA Dodoma
- 10/08/2025: Serial No. 1–70
- 11/08/2025: Serial No. 71–140
- 12/08/2025: Serial No. 69–103
- 13/08/2025: Serial No. 141–211
- 14/08/2025: Serial No. 212–281
- 15/08/2025: Serial No. 282–351
- 16/08/2025: Serial No. 352–422
- 17/08/2025: Serial No. 423–493
- 18/08/2025: Serial No. 494–563
- 19/08/2025: Serial No. 564–634
- 20/08/2025: Serial No. 635–707
Ratiba ya Usaili wa Mahojiano (Oral Interview)
Mwalimu Daraja la III C – Somo la Biashara
Vituo: Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Tabora, Zanzibar
11/08/2025 – Saa 1:00 asubuhi
(Vituo kamili vitangazwa kwenye www.ajira.go.tz)
Dereva Daraja la II – MDAs & LGAs
Ofisi za PSRS – Dodoma
20/08/2025 – Saa 1:00 asubuhi
Fundi Sanifu Ujenzi II – Wizara ya Afya
Ofisi za PSRS – Dodoma
26/08/2025 – Saa 1:00 asubuhi
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments