Walioitwa Kwenye Usaili DUCE Agosti 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Mkuu wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba nafasi mbalimbali kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 03 – 04 Septemba 2025.

Waombaji watakaofaulu usaili huu watapangiwa vituo vya kazi.

Maelezo kwa wasailiwa

  1. Usaili utafanyika kwa tarehe, muda na sehemu iliyooneshwa kwenye ratiba hii.
  2. Msailiwa anatakiwa kuvaa barakoa (mask).
  3. Kila msailiwa anatakiwa kuwa na kitambulisho cha utambulisho (NIDA, kura, uraia, kazi, au hati ya kusafiria).
  4. Lete vyeti halisi vyote kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Shahada n.k.
  5. Testimonials, provisional results, statement of results, slips za Form IV/V/VI hazitakubalika.
  6. Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
  7. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vimehakikiwa na TCU, NACTE au NECTA.
  8. Kada zinazohitaji usajili na leseni za kitaaluma, wasailiwa walete vyeti vya usajili na leseni halisi.
  9. Wasailiwa wanatakiwa kuingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani, kwani hazitatolewa siku ya usaili.
  10. Waombaji wasiokuwamo kwenye tangazo hili watambue hawakukidhi vigezo.

Ratiba ya Usaili wa mchujo (03-09-2025)

Mahali: DUCE New Lecture Theatre, Room C (kuanzia saa 1:00 asubuhi)

  • Tutorial Assistant – Kiswahili (Fasihi na Isimu)
  • Tutorial Assistant – Linguistics
  • Tutorial Assistant – Political Science and Public Administration
  • Tutorial Assistant – History
  • Tutorial Assistant – Physics Teaching Methods
  • Tutorial Assistant – Biology Teaching Methods
  • Tutorial Assistant – Biostatistics
  • Tutorial Assistant – Ecosystem Management
  • Tutorial Assistant – Physical Chemistry
  • Tutorial Assistant – Computer Programming
  • Tutorial Assistant – Solid State Physics
  • Tutorial Assistant – Geography

Ratiba ya Usaili wa Mahojiano (04-09-2025)

Muda: Saa 1:00 Asubuhi

  • DUCE TPC Room 207: Assistant Lecturer – Geography, Tutorial Assistant – Geography
  • DUCE TPC Room 201: Tutorial Assistant – Kiswahili Fasihi na Isimu, Assistant Lecturer – Kiswahili Fasihi, Assistant Lecturer – Kiswahili Isimu
  • DUCE Library Postgraduate Room: Tutorial Assistant – Linguistics
  • DUCE HEET Room: Assistant Lecturer – Development Studies, Tutorial Assistant – History
  • DUCE GIS Room: Tutorial Assistant – Political Science and Public Administration, Assistant Lecturer – Political Science and Public Administration
  • DUCE College Board Room: Tutorial Assistant – Physics Teaching Methods, Tutorial Assistant – Biology Teaching Methods
  • DUCE Library Conference Room: Assistant Lecturer – Special Education (Visual Impairment), Assistant Lecturer – Mathematics Teaching Methods (2)
  • DUCE TPC Room 106: Assistant Librarian (Software Development)
  • DUCE TPC Room 309: Tutorial Assistant – Biostatistics, Tutorial Assistant – Ecosystem Management, Assistant Lecturer – Chordate Zoology
  • DUCE TPC Room 101: Tutorial Assistant – Physical Chemistry, Assistant Lecturer – Analytical Chemistry, Tutorial Assistant – Computer Programming
  • DUCE TPC Room 209: Tutorial Assistant – Solid State Physics, Assistant Lecturer – Computational Physics.

Soma zaidi: