Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga anawatangazia waombaji kazi waliopitia usaili kati ya 15–18 Septemba 2025 na kufaulu kwamba wameitwa kazini.
- Wanafaa kuripoti kazini ndani ya siku 7 kuanzia 19 Septemba 2025 wakiwa na vyeti halisi (original) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea, ili kuthibitisha kabla ya kupewa barua za ajira.
- Wale ambao majina yao hayapo kwenye orodha hii hawakufanikiwa na wanaweza kuomba nafasi zingine zitakapotangazwa.
Walioitwa Kazini

1. KADA: Udereva Daraja la II
- Moses Jackson Kiula
- Samwel Dickson Mseluka
- Ernest Revocatus Mapalala
- Faustine Samwel Ndabisiye
2. KADA: Wasaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II
- Iconomy Nchaba Biize
- Salma Rishan Mtawa
- Esther Mathias Kichembu
- Nyakai Vedastus Methusela
Imetolewa na:
Mwl. Alexius R. Kagunze
Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
Kwa matangazo ya ajira mpya na nafasi za kazi tembelea tovuti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hapa https://www.ajira.go.tz.
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments