Walioitwa Kazini Chuo cha SUA 2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini SUA 2026 Naibu Rasi – Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote waliofanya usaili tarehe 27 Julai, 2025 kuwa matokeo ya usaili huo yametangazwa rasmi na yameorodheshwa katika tangazo hili.

Kwa Waombaji Waliofaulu

Waombaji wote waliofaulu usaili wanatakiwa kufika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira kuanzia:

28 Agosti, 2025 hadi 11 Septemba, 2025
Kuanzia saa 2:00 asubuhi

Nyaraka Muhimu za Kuwasilisha

Waombaji waliofaulu wanapaswa kufika na nyaraka zifuatazo kwa ajili ya uhakiki:

  • Vyeti halisi vya masomo kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea, pamoja na nakala zilizothibitishwa na Wakili au Hakimu.
  • Cheti cha kuzaliwa.
  • Nakala au namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA).
  • Picha ndogo 3 za rangi (passport size).

Kwa Waombaji Wasiofaulu

Waombaji ambao majina yao hayapo kwenye orodha hii, wanatambuliwa kuwa hawakufaulu au hawakupata nafasi.
Wanahimizwa kuendelea kuomba nafasi nyingine zitakapotangazwa siku zijazo.

Pakua PDF ya majina ya waliofaulu hapa

Soma zaidi: