Table of Contents
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kupitia sekreatarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma leo.
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
Matokeo ya Usaili:
Makamu Mkuu wa Chuo anawaarifu waombaji wote wa nafasi za kazi mbalimbali walioufanya usaili kati ya tarehe 21 – 24 Julai 2025 kuwa waombaji waliotajwa hapa chini wamefaulu na kuchaguliwa:
Na. | Nafasi | Majina ya Waliofaulu | Kituo cha Kazi |
---|---|---|---|
1 | Msaidizi wa Mhadhiri – Uhandisi wa Umeme | 1. Reginald Raphael Nicomed 2. Simon Vitus Rutabila 3. Clemence Juma Simeon 4. Denice Charles William 5. Nyemo Eliya Ngambusu 6. Stephen Alexander Mulengera | Rukwa Campus College |
2 | Msaidizi wa Mhadhiri – Uhandisi wa Programu (Software Engineering) | Deogratias Lugemalila Dastan | Makao Makuu |
3 | Msaidizi wa Mhadhiri – Biashara na Mfumo wa Taarifa (Business Information Systems) | Faraja Emmanuel Sikawa | Makao Makuu |
4 | Msaidizi wa Mhadhiri – Uhandisi wa Ujenzi (Civil Engineering) | 1. Rose Juma Omary 2. Robert Manyama Magesa 3. Edward Dema Daudi 4. Praygod Eliah Masue 5. Winnie James Anicetus 6. Godbless Cylidion Bijura 7. David Victor Bamba | Rukwa Campus College |
Maelekezo ya Kuripoti
- Muda wa Kuripoti: Ndani ya siku 14 kuanzia tarehe 25 Agosti 2025
- Mahali: Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
- Kumbuka: Waajiriwa wapya waje na vyeti halisi vya taaluma kwa ajili ya uhakiki kabla ya kupewa barua za ajira.
Kwa Wasiofanikiwa
- Waombaji ambao majina yao hayapo kwenye orodha hii wafahamu kuwa hawakuchaguliwa/hawakufaulu.
- Wanahimizwa kuomba tena mara nafasi mpya zitakapotangazwa.
Imetolewa na:
MAKAMU MKUU WA CHUO
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments