Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Halmashauri ya Wilaya Chamwino inapenda kuwataarifu waombaji kazi waliokuwa na nafasi za kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Dereva Daraja la II na Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II waliofanya usaili tarehe 15 -18 Septemba, 2025 kuwa taratibu za Ajira zao Kisheria zimekamilika.
Orodha ya Majina ya wanaoitwa kazini ni kama inavyoonekana katika Tangazo hili.
Aidha mnatakiwa kuripoti Ofisi za Halmashauri ya Wilaya Chamwino (Makao Makuu) tarehe 22 Septemba, 2025, Saa moja na nusu asubuhi bila kukosa Ukiwa na vyeti halisi vilivyotumika kwenye usaili.
Ambao majina yao hayajaonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi kutokana na idadi ya nafasi hitajika kwa sasa.
Orodha ya Walioitwa Kazini

Na. | Kada | Majina ya Walioitwa Kazini |
---|---|---|
1 | Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II | 1. Fildeus Fredrick Bandii 2. Macrina Daniel Bura 3. Sada Daudi Sakulo 4. Caren Joseph Mwakilima 5. Miraji Abdallah Said |
2 | Dereva Daraja II | 1. Iddy Mussa Mkumba 2. Hussein Mikidadi Mfalme 3. Msafiri Muheta Nesta 4. Pascal Zengo Nkhanga |
3 | Mwandishi Mwendesha Ofisi | 1. Agness Peter Samson 2. Nasra Said Juma |
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments