Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza ama Form One 2026 Shule Hizi hapa Zote

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Haya hapa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2026 form one selection 2025/2026 na unataka kujua shule walizopangiwa kidato cha kwanza 2026/2027 ambayo mtoto wako amepangiwa, basi huu ni mwongozo rahisi utakao kusaidia kufahamu namna ya kuangalia majina, kuelewa mfumo wa upangaji, na kupakua “joining instructions” za TAMISEMI.

Angalia hapa majina waliochaguliwa kidato cha kwanza au form one 2026 PDF

1. Mkoa wa Arusha

2. Mkoa wa Dar es Salaam

3. Mkoa wa Dodoma

4. Mkoa wa Geita

5. Mkoa wa iringa

6. Mkoa wa Kagera

7. Mkoa wa Mwanza

8. Mkoa wa Katavi

9. Mkoa wa Kigoma

10. Mkoa wa Kilimanajaro

11. Mkoa wa Lindi

12. Mkoa wa Morogoro

13. Mkoa wa Manyara

14. Mkoa wa Mara

15. Mkoa wa Mbeya

16. Mkoa wa Mtwara

17. Mkoa wa Njombe

18. Mkoa wa Pwani

19. Mkoa wa Simiyu

20. Mkoa wa Singida

21. Mkoa wa Songwe

22. Mkoa wa Tabora

23. Mkoa wa Tanga

Form One Selection 2026 ni nini?

Form One Selection 2026 ni mchakato wa kitaifa unaofanywa kila mwaka na Ofisi ya Rais – TAMISEMI. Baada ya kutolewa kwa Matokeo ya Darasa la Saba (PSLE) kutoka NECTA, wanafunzi hupangiwa shule za sekondari za Serikali kulingana na:

  • Matokeo yao ya PSLE
  • Nafasi zilizopo katika shule
  • Shule walizozichagua
  • Vipaumbele vya mkoa husika

Lengo la TAMISEMI ni kuhakikisha kila mwanafunzi anapata shule kwa usawa na shule zote zinakuwa na uwiano mzuri wa wanafunzi kulingana na uwezo wake.

Waliochaguliwa kidato cha kwanza 2026 Hutoka Lini?

Baada ya NECTA kutangaza matokeo ya Darasa la Saba, TAMISEMI hufuata na kutoa orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza. Kwa kawaida hutolewa mapema tu baada ya matokeo.

Katika tangazo, utaona:

  • Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kwa kila mkoa
  • Shule walizopangiwa
  • Tarehe muhimu za kufika shuleni
  • Joining instructions za kila shule

Namna ya Kuangalia Form One Selection 2025 (Hatua kwa Hatua)

Fuata hatua hizi rahisi:

  1. Fungua tovuti rasmi ya TAMISEMI: www.tamisemi.go.tz
  2. Tafuta tangazo linaloandikwa Form One Selection 2026
  3. Chagua Mkoa
  4. Chagua Wilaya
  5. Fungua orodha uone jina la mwanafunzi
  6. Pakua joining instructions ya shule aliyopangiwa

Jinsi ya Kupakua Joining Instructions za Form One 2026

Baada ya kuthibitisha shule, hakikisha unapakua joining instruction ambazo zina maelezo ya:

  • Mahitaji ya mwanafunzi (vifaa muhimu)
  • Tarehe ya kuripoti
  • Mavazi/uniform na maelekezo ya ada (kama yapo)
  • Mawasiliano ya shule

Unaweza kuzipata moja kwa moja kupitia tovuti ya TAMISEMI au katika ukurasa wa shule husika.

Tovuti Rasmi za Kuangalia Form One Selection 2026

Soma zaidi: