Walimu Walioitwa Kazini Tamisemi Ajira za Kujitolea

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hii hapa orodha ya majina ya walimu walioitwa kazini au kuitwa kazini ajira au nafasi za kujitolea TAMISEMI katika shule za msingi (Kada ya Elimu) chini ya mradi wa GPE – TSP ajira za ualimu.

Ofisi ya Rais – TAMISEMI

Ofisi ya Rais – TAMISEMI inawatangazia waombaji wa nafasi za walimu wa kujitolea katika shule za msingi walioomba kati ya 17 – 30 Mei 2025 kuwa majina ya waliofaulu yanapatikana kwenye tovuti: www.tamisemi.go.tz.

Maelekezo kwa Waliofaulu

  • Walimu waliokidhi vigezo wanatakiwa kuripoti kwa Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika shule walizoomba kuanzia 18 – 31 Agosti 2025.
  • Lengo ni kujaza Mkataba wa Ajira ya Kujitolea na kupokea barua ya kupangiwa kituo cha kazi.
  • Wajitokeze na Vyeti Halisi (Original Certificates).

Taarifa Muhimu

  • Waliofaulu watapata taarifa rasmi kwenye tovuti iliyoelezwa.
  • Walio na majina yasiyoonekana kwenye orodha watambue kuwa hawakupata nafasi. Pia, tangazo hili linapatikana katika tovuti rasmi ya Tamisemi Tanzania https://tamisemi.go.tz.

Soma zaidi: