Tangazo la Ajira za Walimu 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la ajira za walimu 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yaand MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 12678 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;

Makala dokezo: Matokeo ya Darasa la Saba 2025 PDF Results

Ajira mpya za walimu zilizo tangazwa na Maelezo

NambaNafasiJumla ya Nafasi
1Mwalimu Daraja la III B – Hisabati (Mathematics)709
2Mwalimu Daraja la III C – Hisabati (Mathematics)1883
3Mwalimu Daraja la III C – Jiografia (Geography)96
4Mwalimu Daraja la III C – Kiswahili144
5Mwalimu Daraja la III C – Baiolojia (Biology)1218
6Mwalimu Daraja la III B – Baiolojia (Biology)459
7Mwalimu Daraja la III C – Somo la Lishe (Food and Human Nutrition)37
8Mwalimu Daraja la III B – Somo la Lishe (Food and Human Nutrition)14
9Mwalimu Daraja la III B – Shule ya Msingi1000
10Mwalimu Daraja la III C – Kiingereza (English)235
11Mwalimu Daraja la III C – Afya ya Wanyama na Uzalishaji (Animal Health Production)6
12Mwalimu Daraja la III C – Auto Body Repair8
13Mwalimu Daraja la III C – Useremala (Carpentry)10
14Mwalimu Daraja la III C – Utengenezaji Programu za TEHAMA (Computer Programming)5
15Mwalimu Daraja la III C – Ubunifu, Ushonaji na Teknolojia ya Mavazi (Designing, Sewing and Cloth Technology)1
16Mwalimu Daraja la III C – Graphics Designing2
17Mwalimu Daraja la III C – Kilimo cha Bustani (Horticulture Production)2
18Mwalimu Daraja la III C – Hair Dressing1
19Mwalimu Daraja la III C – Fitter Mechanics7
20Mwalimu Daraja la III C – Uashi (Masonry and Bricklaying)1
21Mwalimu Daraja la III C – Usindikaji Nyama (Meat Processing)1
22Mwalimu Daraja la III C – Huduma ya Chakula, Vinywaji na Mauzo (Food & Beverage, Sales and Services)1
23Mwalimu Daraja la III C – Mpira wa Pete (Netball Performance)13
24Mwalimu Daraja la III C – Useketaji wa Nguo (Handloom Weaving)1
25Mwalimu Daraja la III C – Ufundibomba (Plumbing)16
26Mwalimu Daraja la III C – Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma (Welding and Metal Fabrication)10
27Mwalimu Daraja la III C – Ufundimagari (Motor Vehicle Mechanics)11
28Mwalimu Daraja la III C – Track Event6
29Mwalimu Daraja la III C – Historia ya Tanzania na Maadili270
30Mwalimu Daraja la III C – Biashara (Business Studies)381
31Mwalimu Daraja la III C – Ngoma1
32Mwalimu Daraja la III C – Kemia (Chemistry)682
33Mwalimu Daraja la III B – Kemia (Chemistry)257
34Mwalimu Daraja la III C – Kilimo (Agriculture)171
35Mwalimu Daraja la III B – Kilimo (Agriculture)64
36Mwalimu Daraja la III B – Fizikia (Physics)433
37Mwalimu Daraja la III C – Fizikia (Physics)1148
38Mwalimu Daraja la III C – Historia (History)124
39Mwalimu Daraja la III C – TEHAMA (ICT)168
40Mwalimu Daraja la III B – TEHAMA (ICT)64
41Mwalimu Daraja la III A (Teacher Grade IIIA)3018

Sifa za Mwombaji

Kuajiriwa mwenye Astashahada, stashahada, au Shahada yenye somo la kufundishia kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

Masharti Muhimu

  • Awe Raia wa Tanzania mwenye umri wa kati ya miaka 18–45.
  • Aambatishe:
    • Cheti cha kuzaliwa.
    • CV yenye taarifa binafsi na mawasiliano.
    • Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au namba ya uraia.
    • Nakala za vyeti vya elimu na taaluma vilivyothibitishwa.
    • Picha mbili (2) za rangi za passport size.
  • Waombaji waliomaliza masomo nje ya nchi waambatishe vyeti vilivyothibitishwa na TCU/NACTE/NECTA.
  • Testimonials, Provisional Results, Statement of Results na Result Slips HAVITAKUBALIWA.
  • Taarifa za kughushi zitapelekea hatua za kisheria.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Barua za maombi (ikiandikwa kwa mkono) ziambatane na vyeti vyote muhimu na zitumwe kwa:

KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320,
Mtaa wa Mahakama, Tambukareli,
DODOMA.

Mwisho wa kutuma maombi: 01 Novemba, 2025 saa 9:30 Alasiri.

Pakua PDF hapa

Soma zaidi: