Wanafunzi wanaomaliza Kidato cha Nne 2024 na wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu ya sekondari mara nyingi hukutana na changamoto ya kuchagua tahasusi (combinations) sahihi zitakazowafungulia njia kuelekea taaluma zao za baadaye. Hii hapa ni orodha ya Tahasusi za Sayansi ya Jamii Combination, Vigezo na Kada tarajiwa.
Orodha ya Tahasusi za Sayansi ya Jamii
1. History, Geography and Kiswahili (HGK)
- Vigezo: Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
- Kada tarajiwa: Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
2. History, Geography and English Language (HGL)
- Vigezo: Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
- Kada tarajiwa: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k.
3. History, Geography and French (HGF)
- Vigezo: Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
- Kada tarajiwa: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
4. History, Kiswahili and English Language (HKL)
- Vigezo: Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
- Kada tarajiwa: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
5. History, Geography and Economics (HGE)
- Vigezo: Awe amefaulu History na Geography
- Kada tarajiwa: Ualimu, Archeology, Uchumi, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Usanifu Majengo, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Biashara n.k
6. History, Geography and Arabic (HGAr)
- Vigezo: Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
- Kada tarajiwa: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
7. History, Geography and Chinese (HGCh)
- Vigezo: Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
- Kada tarajiwa: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
8. History, Geography and Fasihi ya Kiswahili (HGFa)
- Vigezo: Awe amefaulu History, Geography na Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili
- Kada tarajiwa: Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
9. History, Geography and Literature in English (HGLi)
- Vigezo: Awe amefaulu History, Geography na Literature in English/English Language
- Kada tarajiwa: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari,Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi,Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
Hivyo basi, kama unataka kusoma combination nzuri ili uje kupata kada tarajiwa nzuri inabidi ufanye uchaguzi sahihi kwenye tahasusi hizo hapo juu.
Soma zaidi:
Leave a Reply