Orodha ya Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hii hapa Orodha ya Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu 2025 Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 66(1)(b) na 78(1) za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 zikisomwe pamoja na kifungu cha 112 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake kilichofanyika leo tarehe 07 Novemba, 2025 imefanya uteuzi wa Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu 115 kati ya idadi ya Wabunge 116 wanaopaswa kuteuliwa.

Aidha, nafasi ya Mbunge mmoja uteuzi wake utafanyika baada ya kukamilisha uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Fuoni Tanzania Zazibar na Jimbo la Siha Tanzania Bara.

Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu

Ifuatayo ni orodha ya Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu 115 walioteuliwa:

NA.JINA LA MBUNGE ALIYETEULIWACHAMA
1.Agness Elias HokororoCCM
2.Agness Mathew MarwaCCM
3.Aisha Msantu MduyahCCM
4.Amina Ali MzeeCCM
5.Amina Good SaidCCM
6.Amina Iddi MabroukCCM
7.Asha Juma FeruziCCM
8.Asha Omar RashidCCM
9.Asha Ramadhani BarakaCCM
10.Asha Salum MottoCCM
11.Asya Ali KhamisCCM
12.Asya Sharifu OmarCCM
13.Athumini Omary MapaliloCCM
14.Aysharose Ndogholi MattembeCCM
15.Aziza Sleyumu AllyCCM
16.Bonnah Ladislaus KamoliCCM
17.Catherine Canute JoachimCCM
18.Cecilia Daniel ParessoCCM
19.Chiku Athman IssaCCM
20.Christina Christopher MnzavaCCM
21.Christina Solomon MndemeCCM
22.Devotha Daniel MburarugabaCCM
23.Esther Lukago MidimuCCM
24.Esther Edwin MallekoCCM
25.Fatma Ally RemboCCM
26.Ghati Zephania ChometeCCM
27.Grace Elias MkomaCCM
28.Halima Abdallah BulemboCCM
29.Halima Iddi NassorCCM
30.Happiness Daniel NgwadoCCM
31.Hawa Mchafu ChakomaCCM
32.Husna Juma SekibokoCCM
33.Jacqueline Chrisant MzindakayaCCM
34.Jacqueline Kainja AndrewCCM
35.Jacqueline Kandidus Ngonyani (Msongozi)CCM
36.Jamila Mahmoud JumaCCM
37.Janeth Elias MahawangaCCM
38.Janeth Peter PindaCCM
39.Jasmine Chesco Ng’umbiCCM
40.Jesca John MagufuliCCM
41.Jesca Yuda MbogoCCM
42.Josephine Joseph KapomaCCM
43.Josephine Tabitha ChagulaCCM
44.Juliana Daniel ShonzaCCM
45.Kabula Enock ShitobelaCCM
46.Khadija Hassan AboudCCM
47.Khadija Shaaban Taya (Keisha)CCM
48.Kijakazi Yunus MohamedCCM
49.Latifa Khamis JuwakaliCCM
50.Lucy Edward MwakyembeCCM
51.Lucy Similya KombaniCCM
52.Lulu Guyo MwachaCCM
53.Magreth Baraka EzekielCCM
54.Mariam Abdallah IbrahimCCM
55.Mariam Anzuruni MungulaCCM
56.Mariam Madalu NyokaCCM
 Mariam Ussi YahyaCCM
58.Marirta Gido KivungeCCM
59.Martha Festo MarikiCCM
60.Martha Nehemia GwauCCM
61.Mary Francis MasanjaCCM
62.Mary Pius ChatandaCCM
63.Maryam Azani MwinyiCCM
64.Maryprisca Winfried MahundiCCM
65.Mgeni Hassan JumaCCM
66.Mvita Mustafa AliCCM
 Mwanaenzi Hassan SuluhuCCM
68.Mwanahamisi Athumani MunkundaCCM
69.Mwanaisha Ng’anzi UlengeCCM
70.Mwantatu Mbarak KhamisCCM
71.Mwantumu Mzamilu ZodoCCM
72.Nadra Gulam RashidCCM
73.Najma Murtaza GigaCCM
74.Nancy Hassan NyalusiCCM
75.Naomy Duncan MwaipopoCCM
76.Nasriya Nassir AliCCM 
 77.Neema Gerald MwandabilaCCM
 78.Neema Peter MajuleCCM
 79.Neema William MgayaCCM
 80.Ng’wasi Damas KamaniCCM
 81.Nyamizi Simon MhojaCCM
 82.Pindi Hazara ChanaCCM
 83.Rahma Riadh KisuoCCM
 84.Rebeca Sanga NsemwaCCM
 85.Regina Christopher MalimaCCM
 86.Regina Henry MikenzeCCM
  Regina Ndege QwarayCCM
 88.Rose Cyprian TweveCCM
 89.Salome Wycliffe MakambaCCM
 90.Samira Khalfani AmourCCM
 91.Santiel Eric KirumbaCCM
 92.Selina Henry KingalameCCM
 93.Shadya Haji OmarCCM
 94.Sheila Edward LukubaCCM
 95.Sikudhani Yassini ChikamboCCM
 96.Stella Ikupa AlexCCM
 97.Suma Ikenda FyandomoCCM
98.Sylivia Francis SigulaCCM
99.Tamima Haji AbassCCM
100.Taska Restituta MbogoCCM
101.Tauhida Cassian GallosCCM
102.Timida Mpoki FyandomoCCM
103.Tinnar Andrew ChengeCCM
104.Tunu Juma KondoCCM
105.Ummy Hamisi NderianangaCCM
106.Yumna Mmanga OmarCCM
107.Yustina Arcadius RahhiCCM
108.Zainabu Athman KatimbaCCM
109.Zainab Abdallah IssaCCM
110.Zainab Rashid KawawaCCM
111.Zena Maulidi KatamboCCM
112.Zeyana Abdallah HamidCCM
113.Zuena Athumani BushiriCCM
114.Devotha MinjaCHAUMMA
115.Sigrada MligoCHAUMMA

Soma zaidi: