Nafasi za Kazi Wilaya ya Mbinga

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi kuomba nafasi za ajira baada ya kupokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Ajira mpya zilizotangazwa na Maelezo

KadaIdadiMajukumu (mfupi)Sifa za MwombajiMshahara
Mwandishi Mwendesha Ofisi II05Kuchapa barua/nyaraka, kupokea wageni, kutunza kumbukumbu, maandalizi ya vikao.Kidato cha IV, Stashahada/Uhazili NTA 6, typing Kiswahili/Kingereza maneno 80 kwa dakika, ujuzi wa kompyuta (Word, Excel, PowerPoint n.k.).TGS C
Msaidizi wa Kumbukumbu II04Kuorodhesha barua, kusambaza/kutafuta majalada, kufuatilia mzunguko wa mafaili.Kidato cha IV/VI, Stashahada au NTA 6 ya utunzaji kumbukumbu, ujuzi wa kompyuta.TGS C
Dereva II08Kukagua gari, kuendesha safari za kikazi, matengenezo madogo, kusambaza nyaraka.Kidato cha IV, Leseni daraja C/E, uzoefu ≥ mwaka 1 bila ajali, mafunzo ya msingi (VETA/NIT).TGS B

Masharti ya Jumla

  1. Awe Raia wa Tanzania, umri miaka 18–45.
  2. Wenye ulemavu wanahamasishwa kuomba na waainishe ulemavu kwenye mfumo wa ajira.
  3. Wasilisha CV yenye mawasiliano na referees watatu.
  4. Ambatanisha vyeti halisi vilivyothibitishwa na wakili/mwanasheria.
  5. Testimonials, provisional results, statements of results na results slips hazitakubaliwa.
  6. Vyeti vya nje ya nchi vihakikiwe na TCU/NACTE/NECTA.
  7. Waliostaafu utumishi wa umma hawaruhusiwi isipokuwa kwa kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  8. Waliotoa taarifa za kughushi watachukuliwa hatua za kisheria.
  9. Mwisho wa kutuma maombi: 11 Septemba 2025.
  10. Maombi yatumwe kupitia Recruitment Portal: https://portal.ajira.go.tz

Pakua PDF ya tangazo hapa.

MUHIMU: Ambatanisha barua ya maombi yenye anuani na sahihi ikielekezwa kwa:

MKURUGENZI MTENDAJI
Halmashauri ya Wilaya Mbinga,
224 Barabara ya Mbambabay,
S.L.P. 194, 57483 Kigonsela, Ruvuma.

Soma zaidi: