Nafasi za Kazi UNESCO 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi UNESCO 2025 Wananchi wa Tanzania wenye sifa na uzoefu wanakaribishwa kuomba nafasi zifuatazo zilizotangazwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO).

Ajira mpya zilizotangazwa na Maelezo

Na.Kichwa cha KaziDaraja (Grade)Kituo cha KaziMwisho wa Kutuma Maombi
1Afisa Fedha (Finance Officer, Savings)P-3Paris2 Oktoba, 2025
2Meneja Mkuu (General Manager, UNESCO Staff Savings and Loan Service)P-5Paris30 Septemba, 2025

Maelekezo ya Kutuma Maombi

  • Kwa taarifa zaidi kuhusu maelezo ya kazi, sifa zinazohitajika, muda wa ajira na maslahi, tembelea tovuti ya UNESCO: https://unesco.org.
  • Waombaji wanapaswa kuzingatia masharti yote ya nafasi zilizotangazwa na kuwasilisha maombi kupitia UNESCO Careers Portal: https://careers.unesco.org.
  • Nakala za maombi pia ziwasilishwe kwa POPSM&GG kupitia barua pepe: dhrd.tc@utumishi.go.tz au kwa anuani husika.

Permanent Secretary,
President’s Office, Public Service Management and Good Governance,
Mtumba Governance City,
Utumishi Street,
P.O. Box 670,
DODOMA.

Pakua PDF hapa.

Soma zaidi: