Nafasi za Kazi Umoja wa Afrika (AU)

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Umoja wa Afrika (AU) unawatangazia Watanzania wenye sifa na uzoefu kuomba nafasi mbalimbali za kazi kama zilivyoainishwa hapa chini:

Ajira mpya zilizotangazwa na Maelezo

Na.Cheo cha KaziNgaziIdara/KitengoAina ya MkatabaMahali pa KaziMwisho wa Maombi
1Kiongozi wa Mpango wa Chanjo (Immunization Program Lead)P5AfDCMkataba wa MudaAddis-Ababa, Ethiopia25/09/2025
2Mtaalamu wa Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM Specialist)P4AfCDCMkataba wa MudaOfisi za CDC barani Afrika (nchi 10)29/09/2025
3Katibu Mtendaji (Executive Secretary)P6AUC/ACALANAjira ya KawaidaBamako, Mali19/09/2025
4Afisa Mwandamizi wa Miradi (Senior Programmes & Project Officer)P3AUC/ACALANAjira ya KawaidaBamako, Mali19/09/2025
5Afisa Mpango – Mabadiliko (Program Officer – Change Management)P3AUC/OSPDMkataba wa MudaAddis Ababa, Ethiopia22/09/2025
6Afisa Mpango – Usimamizi (Program Officer – Operational Management)P3AUC/OSPDMkataba wa MudaAddis Ababa, Ethiopia22/09/2025
7Mtaalamu wa Usimamizi wa Miradi (Project Management Expert)P3AfDCMkataba wa MudaAddis Ababa, Ethiopia18/09/2025
8Afisa Mipango ya Idara (Departmental Planning Officer)P3AUC/OSPDMkataba wa MudaAddis Ababa, Ethiopia22/09/2025
9Afisa Ufuatiliaji na Tathmini (Monitoring & Evaluation Officer)P2AUC/OSPDMkataba wa MudaAddis Ababa, Ethiopia22/09/2025
10Mchumi (Economist)P2AUC/AU Mission BrusselsAjira ya KawaidaBrussels, Belgium22/09/2025
11Afisa Masuala ya Kijamii na Kiuchumi (Socio-Economic Officer)P2AUC/AU Mission BrusselsAjira ya KawaidaBrussels, Belgium22/09/2025
12Msaidizi wa Utawala na Fedha (Administration & Finance Assistant)GSA5AUC/ESTI_STRCAjira ya KawaidaAbuja, Nigeria22/09/2025
13Katibu (Secretary)GSA4AUC/ESTI_STRCAjira ya KawaidaAbuja, Nigeria22/09/2025
14Katibu/Mpiga Simu (Secretary/Receptionist)GSA4AUC/CCPAjira ya KawaidaBrussels, Belgium22/09/2025
15Mkuu wa Idara ya Nyaraka (Head of Documentation & Registry Division)P5AUC/OSCAjira ya KawaidaAddis Ababa, Ethiopia19/09/2025
16Mkuu wa Mawasiliano (Head of Communication Division)P5AUC/ICDAjira ya KawaidaAddis Ababa, Ethiopia19/09/2025
17Mkuu wa Uhasibu (Head of Accounting Division)P5AUC/FinanceAjira ya KawaidaAddis Ababa, Ethiopia19/09/2025
18Mkuu wa Ujumuishaji na Biashara (Head of Integration & Trade)P5AUC/I&EAjira ya KawaidaAddis Ababa, Ethiopia19/09/2025
19Mafunzo kwa Vitendo (Internship Program)InternshipIdara MbalimbaliMafunzoAddis Ababa, Ethiopia31/12/2025

Jinsi ya Kutuma Maombi

  1. Kwa taarifa zaidi kuhusu maelezo ya kazi, sifa zinazohitajika, masharti ya ajira na mishahara, tembelea tovuti rasmi ya Umoja wa Afrika: https://careers.au.int.
  2. Waombaji wanapaswa kuzingatia masharti na sifa za kila nafasi kama yalivyoelezwa kwenye tangazo.
  3. Maombi yote yawasilishwe kupitia AU e-Recruitment Portal: https://careers.au.int.
  4. Nakala za maombi zitumwe pia Utumishi kwa barua pepe: dhrd.tc@utumishi.go.tz au kwa anuani:

Pakua PDF hapa

Permanent Secretary,
President’s Office, Public Service Management and Good Governance,
Mtumba Governance City,
Utumishi Street,
P.O. Box 670,
DODOMA.

Soma zaidi: