Nafasi za Kazi Hospitali ya Benjamin Mkapa 2025

Nafasi za Kazi Hospitali ya Benjamin Mkapa 2025
Nafasi za Kazi Hospitali ya Benjamin Mkapa 2025

Nafasi za Kazi Hospitali ya Benjamin Mkapa ilianzishwa rasmi kupitia Tangazo la Serikali Na. 453 la mwaka 2015, ambalo lilichapishwa kwenye gazeti la serikali tarehe 16 Oktoba 2015, baada ya kuzinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba 2015.

Kuanzishwa kwa hospitali hii kulitokana na wazo la Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, la kuwa na kituo cha kisasa chenye teknolojia ya juu kwa ajili ya uchunguzi na matibabu, ili kupunguza gharama kubwa za serikali kwa kuwapeleka wagonjwa nje ya nchi.

Hospitali hii inatoa huduma maalum na za kibingwa kwa wagonjwa wa ndani na wa kimataifa.

Kwa sasa, hospitali inatoa huduma mbalimbali za afya kama vile upandikizaji wa figo, upandikizaji wa uboho, upasuaji wa moyo kwa kutumia teknolojia maalum, mifupa, upasuaji wa ubongo, masikio/pua/koo (ENT), mfumo wa mkojo (Urology), mionzi ya kisasa, saratani, huduma za dharura, chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), vipimo vya picha kama MRI, CT Scan, angiography, cath-lab, huduma za maabara, upasuaji wa jumla, na tiba ya mionzi.

Ajira mpya Hospitali ya Benjamin Mkapa

Ili kuendelea kutoa huduma bora za kibingwa, hospitali inatafuta waombaji wanaofaa kwa mkataba ili kujaza nafasi 10 zilizo wazi kwa sasa.

Download PDF

Soma zaidi:

  1. Nafasi za Kazi Bagamoyo Sugar Tanzania
  2. JWTZ ajira 2025
  3. Nafasi za Kazi Kutoka Benki ya Mwanga Hakika
  4. Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma
  5. Nafasi za Jeshi JWTZ 2025
  6. Nafasi za Kazi Kutoka MUHAS