Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa kwa ajili ya nafasi mbalimbali za kazi katika Kampasi Kuu – Moshi na Taasisi ya Kizumbi ya Elimu ya Ushirika na Biashara (KICoB) Shinyanga.
Ajira mpya zilizotangazwa na Maelezo
1. Assistant Lecturer – Procurement and Supply Management (Nafasi 2)
- Majukumu: Kufundisha wanafunzi wa ngazi ya shahada.
2. Assistant Lecturer – Entrepreneurship (Nafasi 2)
- Majukumu: Kufundisha na kusimamia tafiti za ujasiriamali.
3. Assistant Lecturer – Banking (Nafasi 1)
- Majukumu: Kufundisha masomo ya benki na fedha.
4. Librarian (Nafasi 1)
- Majukumu: Kusimamia huduma za maktaba chuoni.
5. Assistant Lecturer – Microfinance (Nafasi 1)
- Majukumu: Kufundisha na kuendeleza tafiti za microfinance.
6. Assistant Lecturer – Marketing (Nafasi 2)
- Majukumu: Kufundisha masoko na kukuza maarifa ya kibiashara.
7. Assistant Lecturer – Records Management (Nafasi 1)
- Majukumu: Kufundisha na kusimamia masuala ya usimamizi wa kumbukumbu.
8. Assistant Lecturer – Law (Nafasi 2)
- Majukumu: Kufundisha sheria na maadili kwa wanafunzi.
9. Assistant Lecturer – Data Science (Nafasi 2)
Majukumu: Kufundisha na kusaidia tafiti za sayansi ya data.
10. Assistant Lecturer – Finance (Nafasi 2)
- Majukumu: Kufundisha na kushiriki tafiti za kifedha.
11. Assistant Lecturer – Human Resource Management (Nafasi 2)
- Majukumu: Kufundisha masuala ya rasilimali watu.
12. Assistant Lecturer – Accounting (Nafasi 2)
- Majukumu: Kufundisha uhasibu wa kisasa.
13. Assistant Lecturer – Economics (Nafasi 2)
- Majukumu: Kufundisha na kushiriki tafiti za uchumi.
14. Tutorial Assistant – Accounting (Nafasi 1)
- Majukumu: Kusaidia kufundisha masomo ya uhasibu.
15. Tutorial Assistant – Taxation (Nafasi 1)
- Majukumu: Kutoa msaada katika kufundisha kodi.
16. Tutorial Assistant – Microfinance (Nafasi 1)
- Majukumu: Kusaidia ufundishaji wa microfinance.
17. Tutorial Assistant – Entrepreneurship (Nafasi 2)
- Majukumu: Kusaidia ufundishaji wa ujasiriamali.
18. Tutorial Assistant – Co-operative Management and Accounting (Nafasi 3)
- Majukumu: Kutoa msaada katika usimamizi wa ushirika na uhasibu.
19. Tutorial Assistant – Co-operative Management (Nafasi 2)
- Majukumu: Kusaidia kufundisha masomo ya ushirika.
20. Assistant Librarian (Nafasi 5)
- Majukumu: Kutoa huduma bora za maktaba kwa wanafunzi na wahadhiri.
21. Assistant Research Fellow – Economics (Nafasi 1)
- Majukumu: Kufanya tafiti za uchumi.
22. Assistant Research Fellow – ICT (Nafasi 1)
- Majukumu: Kufanya tafiti na kuendeleza mifumo ya TEHAMA.
23. Research Fellow – Community Development (Nafasi 1)
- Majukumu: Kufanya tafiti za maendeleo ya jamii.
24. Research Fellow – Marketing (Nafasi 1)
- Majukumu: Kufanya tafiti za masoko na biashara.
Masharti ya Jumla
- Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 45.
- Watu wenye ulemavu wanahimizwa kuomba.
- Maombi yaambatane na wasifu wa kitaaluma (CV), picha ya pasipoti ya hivi karibuni, nakala za vyeti (vilivyothibitishwa), vyeti vya kuzaliwa, na majina ya waamuzi watatu.
- Vyeti vya nje ya nchi vihakikiwe na TCU/NACTE/NECTA.
- Watumishi wa umma waombe kupitia kwa waajiri wao.
- Maombi yaandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza na yawasilishwe kwa:
Vice Chancellor,
Moshi Cooperative University,
06 Sokoine Road,
25121 Mfumuni,
P.O. Box 474,
MOSHI-TANZANIA
Mwisho wa kutuma maombi: 19 Agosti 2025
NB: Maombi yote yawasilishwe kupitia mfumo wa ajira:
https://portal.ajira.go.tz/
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments