Nafasi za Kazi Ajira Portal 719 PDF

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Ajira Portal 2025 leo tarehe 8/12/2025 Kwa niaba ya taasisi mbalimbali kama NLUPC, TIA, IRDP, EASTC, TARURA, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, TSN, TAEC, COSOTA, BAKITA, TaSUBA, TBC, TFB, Wizara ya Mambo ya Ndani, TCPM, MPAUWASA, DIT, NIT, ATC, MNMA, OSHA, DMI, NCC, TBA, NIC, TCDC, TEMESA, KEC, IFM, TALIRI na LITA,

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki, waadilifu, wenye uwezo na ari ya kufanya kazi kwa matokeo kuomba nafasi za ajira 719 zilizoainishwa.

Ajira zilizotangazwa na Maelezo

MwajiriIdadi ya Nafasi
NLUPC33
TIA27
IRDP6
EASTC2
TARURA34
TSN8
TAEC19
COSOTA1
BAKITA3
TaSUBA3
TBC70
TFB8
TCPM6
MPAUWASA20
DIT58
NIT57
ATC41
MNMA52
OSHA14
DMI34
NCC6
TBA10
NIRC72
TCDC26
TEMESA64
KEC6
IFM31
TALIRI14
LITA12

Masharti ya Jumla

  1. Waombaji wawe Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 (isipokuwa walioko Utumishi wa Umma).
  2. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na waainishe aina ya ulemavu kwenye mfumo wa ajira.
  3. Maombi yaambatane na nakala za vyeti vya kuzaliwa, elimu (Form IV, VI, Diploma, Degree) vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili.
  4. Vyeti vya matokeo (Testimonials, Statement of Results, Provisional Results) havitakubalika.
  5. Waombaji waliomaliza masomo nje ya nchi wahakikishe vyeti vimehakikiwa na TCU, NECTA au NACTE.
  6. Waombaji waliostaafu hawaruhusiwi kuomba isipokuwa wenye kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  7. Taarifa za kughushi zitaathiri moja kwa moja mchakato wa maombi.
  8. Maombi yasiyo katika utaratibu wa kielektroniki hayatafanyiwa kazi.

Anuani ya Kuwasilisha Maombi

Secretary,
Presidents Office, Public Service Recruitment Secretariat,
P.O. Box 2320,
Mahakama Street, Tambukareli,
Dodoma.

Pakua PDF hapa

Maombi yote yatumwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal): https://portal.ajira.go.tz

Mwisho wa kutuma maombi: Tarehe 22 Disemba, 2025.

Soma zaidi: