Nafasi za kazi Kampuni ya HOPE HOLDING ya jijini Dar es Salaam kupitia maduka yake ya AMAL CARPETS inatangaza nafasi za ajira kwa vijana 300 wa kiume kama Maafisa Mauzo.

Vigezo vya Mwombaji:
- Awe mhitimu wa chuo.
- Awe na Diploma ya Utawala wa Biashara, Masoko na Mauzo au kozi yoyote ya biashara inayohusiana.
- Awe na uzoefu wa angalau mwaka 1 kwenye biashara ya rejareja.
- Awe mwanaume.
- Awe na ujuzi wa mawasiliano na mauzo.
Usaili:
- Tarehe: 16 na 17 Septemba 2025
- Muda: Saa 2:00 asubuhi – Saa 6:00 mchana
- Mahali: Ofisi za HOPE HOLDING, Morocco Square Mall, ghorofa ya pili, karibu na mataa ya Morocco, Kinondoni.
Wajibu kuleta:
- CV
- Nakala za vyeti
- Nakala ya kitambulisho cha NIDA.
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments