BRAC Maendeleo Tanzania
Nafasi: Msaidizi wa Mradi – ECD (Nafasi 1)
Eneo la Kazi: Mwanza
Kuhusu BRAC
BRAC Maendeleo Tanzania imeanza kazi mwaka 2006, ikijikita katika maeneo ya:
- Kilimo
- Uwezeshaji Vijana na Wanawake
- Usalama wa Chakula na Maisha Bora
Kuhusu Mradi
Kupitia ushirikiano na MasterCard Foundation, BRAC inatekeleza mradi mkubwa unaolenga:
- Wasichana balehe na wanawake vijana zaidi ya milioni 1.2
- Watu zaidi ya milioni 9.5 katika nchi saba za Afrika (ikiwemo Tanzania).
Mradi unalenga kusaidia vijana wa kike kupata ujuzi, nyenzo na mtaji mdogo ili waweze kujitegemea na kuwa na maisha bora.
Nafasi ya Kazi
Msaidizi wa Mradi (ECD) atasaidia katika utekelezaji wa shughuli za Malezi na Maendeleo ya Awali ya Watoto chini ya mradi huu.
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments