Kuahirishwa kwa Usaili NFRA

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Tangazo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), anawafahamisha Waombaji wa Kazi walioitwa katika Tangazo la Usaili la tarehe 04 Agosti, 2025 – kwa Usaili uliotarajiwa kufanyika kwa tarehe zilizobainishwa hapo juu, kuwa Usaili huo umeahirishwa.

Kuahirishwa kwa Usaili huo, kutokana na sababu zisizozuilika. Hata hivyo, Usaili huo sasa utafanyika kuanzia tarehe 01 hadi 08 Septemba, 2025. Ratiba mpya ya Usaili itatangazwa wiki moja kabla ya kuanza kwa Usaili.

Wakala unaomba radhi kwa usumbufu wowote unaoweza kujitokeza kutokana na mabadiliko hayo.

Usaili NFRA

Soma zaidi: