Orodha ya kozi zinazotolewa na Chuo cha UDSM Tanzania 2025

Orodha ya kozi zinazotolewa na Chuo cha UDSM Tanzania 2025
Orodha ya kozi zinazotolewa na Chuo cha UDSM Tanzania 2025

Hii hapa orodha ya kozi zinazotolewa na ada Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 2025 ni taasisi ya elimu ya juu yenye historia ndefu na mafanikio makubwa katika kutoa elimu bora, kufanya tafiti za kina, na kutoa huduma kwa jamii. Kupitia Programmes of Excellence, UDSM inalenga kukuza ubora wa kitaaluma na kuandaa wahitimu wenye ujuzi wa hali ya juu katika nyanja mbalimbali.

Ili kozi yoyote ya shahada ya kwanza ianze kufundishwa, inahitajika kuwa na angalau wanafunzi kumi. Idara zinazotaka kufundisha kozi zenye wanafunzi chini ya kumi zinatakiwa kupata kibali maalum kutoka kwa Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo (Taaluma). Kiwango hiki cha chini cha wanafunzi huangaliwa upya kila mwaka na Seneti ya chuo.

Kwa kuzingatia maelezo ya hapo juu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatoa programu mbalimbali za shahada ya kwanza kupitia vitengo vyake tofauti vya kitaaluma.

Orodha ya kozi UDSM 2025

1. College of Agricultural Sciences and Food Technology (CoAF)

  • BSc in Beekeeping Science and Technology
  • BSc in Agricultural Engineering and Mechanization
  • BSc in Food Science and Technology
  • BSc in Agricultural and Natural Resources Economics and Business
  • BSc in Crop Science and Technology

2. College of Humanities (CoHU)

  • BA in Archeology
  • BA in Archeology and History
  • BA in Archeology and Geography
  • BA in Communication Studies
  • BA in Diplomatic and Military History
  • BA in Heritage Management
  • BA in Art and Design
  • BA in Theatre Arts
  • BA in Film and Television Studies
  • BA in Philosophy and Ethics
  • BA in Music
  • BA in Language Studies
  • BA in Literature
  • BA in History BA in History and Political Science
  • BA in History, Cultural Heritage Management & Tourism
  • BA with Education (CoHU)
  • BA with Education (Chinese and English)

3. College of Social Sciences (CoSS)

  • BA in Anthropology
  • BA in Geography and Environmental Studies
  • BA in Political Science and Public Administration
  • BA in Sociology
  • BA in Statistics
  • BA of Social Work
  • BA in Psychology
  • BA of Library and Information Studies
  • BA with Education (CoSS)

4. College of Engineering and Technology (CoET)

  • BSc in Chemical and Process Engineering
  • BSc in Civil Engineering
  • BSc in Electrical Engineering
  • BSc in Mechanical Engineering
  • BSc in Industrial Engineering
  • BSc in Textile Design and Technology

5. Mkwawa University College of Education (MUCE)

  • Bachelor of Education in Arts
  • Bachelor of Education in Science
  • Bachelor of Arts with Education
  • Bachelor of Science with Education
  • Bachelor of Science in Chemistry

6. Dar es Salaam University College of Education (DUCE)

  • Bachelor of Education in Arts
  • Bachelor of Education in Science
  • Bachelor of Arts with Education
  • Bachelor of Science with Education
  • Bachelor of Arts in Disaster Risk Management

7. University of Dar es Salaam Mineral Resources Institute (UDSM-MRI)

  • Ordinary Diploma Programmes
  • Ordinary Diploma in Geology and Mineral Exploration
  • Ordinary Diploma in Petroleum Geosciences
  • Ordinary Diploma in Mining Engineering
  • Ordinary Diploma in Mineral Processing Engineering
  • Ordinary Diploma in Environmental Engineering and Management in Mines
  • Ordinary Diploma in Land and Mine Surveying

Ada na Kozi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Mwanzoni mwa mwaka wa masomo, kila mwanafunzi atatakiwa kuonyesha uthibitisho wa udhamini kutoka Serikalini au taasisi nyingine yoyote. Ikiwa hakuna uthibitisho huo, mwanafunzi atatakiwa kulipa ada kamili ya masomo na ada nyingine za chuo (au sehemu ambayo haijafunikwa na mdhamini) kabla ya muhula/semester kuanza, ili aruhusiwe kutumia huduma mbalimbali za chuo.

Hivyo basi, Orodha ya kozi zinazotolewa na Chuo cha UDSM Tanzania 2025 Angalia zaidi hapa katika tovuti ya chuo