Afya Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili afya, walimu na kada zingine Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/12/2025 hadi 22/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo

Maelezo kwa wasailiwa wote

  1. Fika siku ya usaili ukiwa na barakoa na kitambulisho halali (NIDA, kura, uraia, kazi, leseni ya udereva, pasipoti au barua ya serikali ya mtaa/kijiji).
  2. Leta vyeti halisi (kuzaliwa, elimu – Kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Shahada n.k.) kulingana na sifa ya kada uliyoiomba.
  3. Testimonials, provisional results, statement of results na result slips za Kidato cha IV & VI hazitakubaliwa.
  4. Gharama za chakula, usafiri na malazi ni za msailiwa mwenyewe.
  5. Waliomaliza masomo nje ya nchi wahakikishe vyeti vimehakikiwa na TCU, NACTVET au NECTA.
  6. Kwa kada zinazohitaji usajili wa kitaaluma, leta vyeti halisi vya usajili na leseni ya kazi.
  7. Ingia kwenye akaunti yako ya Ajira Portal ili kunakili namba ya mtihani kabla ya siku ya usaili.
  8. Wenye majina yanayotofautiana kwenye nyaraka wawasilishe Deed Poll iliyosajiliwa.

Pakua PDF hapa1

PDF ya 2

Pakua PDF ya 3

Kwa wanafunzi matokeo:

Ratiba ya Usaili (Mahojiano)

MWAJIRIKADATAREHE YA USAILI
MDAs & LGAsAfisa Muuguzi Msaidizi II (Assistant Nursing Officer Grade II)2025-12-16 07:00
MDAs & LGAsMfamasia Daraja la II (Pharmacist Grade II)2025-12-17 07:00
MDAs & LGAsDaktari Daraja la II (Medical Officer Grade II)2025-12-17 07:00
MDAs & LGAsAfisa Muuguzi Daraja la II (Nursing Officer Grade II)2025-12-17 07:00
MDAs & LGAsFundi Sanifu Vifaa Tiba Daraja la II (Biomedical Engineering Technician II)2025-12-17 07:00
MDAs & LGAsMhandisi Vifaa Tiba Daraja la II (Biomedical Engineer II)2025-12-17 07:00
MDAs & LGAsTabibu wa Kinywa na Meno Daraja la II (Dental Therapist II)2025-12-18 07:00
MDAs & LGAsMwalimu Daraja la III C – Somo la Afya ya Wanyama na Uzalishaji2025-12-18 07:00
MDAs & LGAsFiziotherapia Daraja la II (Physiotherapist II)2025-12-18 07:00
MDAs & LGAsAfisa Afya Mazingira Daraja la II (Environment Health Officer II)2025-12-18 07:00
MDAs & LGAsMsaidizi Afya ya Mazingira II (Environmental Health Assistant II)2025-12-18 07:00
MDAs & LGAsTabibu Daraja la II (Clinical Officer II)2025-12-19 07:00
MDAs & LGAsAfisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja la II (Assistant Environmental Health Officer II)2025-12-22 07:00
MDAs & LGAsDobi Daraja la II (Launderer II)2025-12-22 07:00
MDAs & LGAsDaktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno II (Dental Surgeon II)2025-12-22 07:00
MDAs & LGAsMtoa Tiba kwa Vitendo Daraja la II (Occupational Therapist II)2025-12-22 07:00
MDAs & LGAsMsaidizi wa Afya Daraja la I (Health Assistant I)2025-12-22 07:00

Soma zaidi: