Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili afya, walimu na kada zingine Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/12/2025 hadi 22/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo

Maelezo kwa wasailiwa

  1. Fika siku ya usaili ukiwa na barakoa na kitambulisho halali (NIDA, kura, uraia, kazi, leseni ya udereva, pasipoti au barua ya serikali ya mtaa/kijiji).
  2. Leta vyeti halisi (kuzaliwa, elimu – Kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Shahada n.k.) kulingana na sifa ya kada uliyoiomba.
  3. Testimonials, provisional results, statement of results na result slips za Kidato cha IV & VI hazitakubaliwa.
  4. Gharama za chakula, usafiri na malazi ni za msailiwa mwenyewe.
  5. Waliomaliza masomo nje ya nchi wahakikishe vyeti vimehakikiwa na TCU, NACTVET au NECTA.
  6. Kwa kada zinazohitaji usajili wa kitaaluma, leta vyeti halisi vya usajili na leseni ya kazi.
  7. Ingia kwenye akaunti yako ya Ajira Portal ili kunakili namba ya mtihani kabla ya siku ya usaili.
  8. Wenye majina yanayotofautiana kwenye nyaraka wawasilishe Deed Poll iliyosajiliwa.

Pakua PDF hapa

Pakua PDF ya 2

Pakua PDF ya 3

Kwa wanafunzi

RATIBA YA USAILI (Mahojiano)

MWAJIRIKADATAREHE YA USAILIMAHALI
MDAs & LGAsAfisa Muuguzi Msaidizi II (Assistant Nursing Officer Grade II)2025-12-16 07:00Usa ili katika mikoa yote ya Tanzania Bara na vituo maalum vya Unguja & Pemba kulingana na makazi ya msailiwa
MDAs & LGAsMfamasia Daraja la II (Pharmacist Grade II)2025-12-17 07:00Kwenye mikoa yote + vituo maalum Unguja & Pemba (kwa mujibu wa makazi ya msailiwa)
MDAs & LGAsDaktari Daraja la II (Medical Officer Grade II)2025-12-17 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsAfisa Muuguzi Daraja la II (Nursing Officer Grade II)2025-12-17 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsFundi Sanifu Vifaa Tiba Daraja la II (Biomedical Engineering Technician II)2025-12-17 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsMhandisi Vifaa Tiba Daraja la II (Biomedical Engineer II)2025-12-17 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsTabibu wa Kinywa na Meno Daraja la II (Dental Therapist II)2025-12-18 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsMwalimu Daraja la III C – Somo la Afya ya Wanyama na Uzalishaji2025-12-18 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsFiziotherapia Daraja la II (Physiotherapist II)2025-12-18 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsAfisa Afya Mazingira Daraja la II (Environment Health Officer II)2025-12-18 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsMsaidizi Afya ya Mazingira II (Environmental Health Assistant II)2025-12-18 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsTabibu Daraja la II (Clinical Officer II)2025-12-19 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsAfisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja la II (Assistant Environmental Health Officer II)2025-12-22 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsDobi Daraja la II (Launderer II)2025-12-22 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsDaktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno II (Dental Surgeon II)2025-12-22 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsMtoa Tiba kwa Vitendo Daraja la II (Occupational Therapist II)2025-12-22 07:00Kama ilivyo juu
MDAs & LGAsMsaidizi wa Afya Daraja la I (Health Assistant I)2025-12-22 07:00Kama ilivyo juu

Soma zaidi: