Ajira Mpya MDAs & LGAs 17710

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza ajira mpya 17,710 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

KadaIdadi ya NafasiSifa za Mwombaji (Muhtasari)Mshahara
Mhassibu Daraja la II131Shahada ya Uhasibu/CPA(T) au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka taasisi inayotambuliwa na SerikaliTGS.D
Afisa Uvuvi Msaidizi II35Diploma ya Sayansi ya Uvuvi au fani inayofanana kutoka chuo kinachotambuliwa na SerikaliTGS.C
Dereva Daraja la II427Kidato cha Nne, leseni daraja C/E, uzoefu wa mwaka 1, mafunzo ya VETATGOS.A

Kuona nafasi za kazi 17710 MDAs & LGAs endelea kusoma na download PDF hapo chini.

Masharti Muhimu

  • Awe Raia wa Tanzania mwenye umri wa kati ya miaka 18–45.
  • Aambatishe:
    • Cheti cha kuzaliwa.
    • CV yenye taarifa binafsi na mawasiliano.
    • Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au namba ya uraia.
    • Nakala za vyeti vya elimu na taaluma vilivyothibitishwa.
    • Picha mbili (2) za rangi za passport size.
  • Waombaji waliomaliza masomo nje ya nchi waambatishe vyeti vilivyothibitishwa na TCU/NACTE/NECTA.
  • Testimonials, Provisional Results, Statement of Results na Result Slips HAVITAKUBALIWA.
  • Taarifa za kughushi zitapelekea hatua za kisheria.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Barua za maombi (ikiandikwa kwa mkono) ziambatane na vyeti vyote muhimu na zitumwe kwa:

KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320,
Mtaa wa Mahakama, Tambukareli,
DODOMA.

Mwisho wa kutuma maombi: 29 Oktoba, 2025 saa 9:30 Alasiri.

Pakua PDF hapa

Soma zaidi: