Nafasi za Kazi UDSM 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ndicho chuo kikuu cha kwanza na kongwe zaidi nchini Tanzania. Kiliundwa mwaka 1961 kama chuo tanzu cha Chuo Kikuu cha London kikiwa na Taasisi moja ya Sheria na wanafunzi 14 pekee. Baadaye mwaka 1970, UDSM kilijitegemea kama chuo kikuu kamili baada ya kuvunjika kwa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki.

Kwa sasa UDSM kimekua na kinatoa taaluma mbalimbali katika nyanja za Sayansi, Uhandisi, Tiba, Kilimo, Biashara, Uandishi wa Habari, Sanaa na Sayansi Jamii, kikiwa kinahudumia taifa kwa kuzalisha wataalamu wa ngazi ya juu.

Nafasi za Kazi Zilizotangazwa

Na.KadaIdadi ya Nafasi
1Assistant Lecturer (Quantity Surveying)1
2Assistant Lecturer (Structural Engineering)1
3Assistant Lecturer (Energy Engineering)1
4Assistant Lecturer (Geomatics)1
5Assistant Lecturer (Climate Change Scientist)1
6Assistant Lecturer (Biochemistry)1
7Assistant Lecturer (Fish Processing Technology)1
8Assistant Lecturer (Data Science)1
9Assistant Lecturer (Economics/Commerce Education)1
10Assistant Lecturer (Exercise Physiology)1
11Assistant Lecturer (Sports Sociology)1
12Editor II4
13Instructor II (Arts & Design)1
14Laboratory Engineer II (Food Science & Technology)1
15Laboratory Scientist II (Botanical Science)2
16Laboratory Scientist II (Molecular Biology & Biotechnology)1
17Medical Specialist II (Anesthesia)1
18Medical Officer II (Dental)1
19Technologist II (Radiology)1
20Laboratory Technician II (Multimedia)2
21Laboratory Technician II (Petroleum)1
22Laboratory Technician II (Geology/Mining)1
23Technician II (Seaman)2
24Laboratory Technician II (Botany)1
25Artisan II (ICT)4
26Laboratory Assistant II (Embalmer)2
27Laboratory Assistant II (Civil Droughting)2
28Launderer II4
29Workshop Technician II (Mechanical/Electromechanical)1
30Laboratory Technician II (Mineral Processing)1

Masharti ya Jumla kwa Waombaji

  1. Awe Raia wa Tanzania mwenye umri usiozidi miaka 45.
  2. Wenye ulemavu wanahimizwa kuomba (waainishe kwenye mfumo).
  3. Waombaji wa umma waliopo kazini wapitishe maombi kwa waajiri wao.
  4. Waliowahi kuondolewa kazini Serikalini hawaruhusiwi kuomba.
  5. Vyeti vya nje lazima vithibitishwe na TCU (kwa elimu ya juu) au NECTA (kwa O-level na A-level).
  6. Uwasilishaji wa vyeti bandia utasababisha kufutwa maombi na hatua za kisheria.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Waombaji wenye sifa watume maombi kupitia Recruitment Portal:
http://portal.ajira.go.tz

Barua za maombi zielekezwe kwa:

The Deputy Vice Chancellor (Academic),
University of Dar es Salaam,
P.O. Box 35091,
Dar es Salaam.

Pakua PDF hapa.

Mwisho wa kutuma maombi:

  • 21 Septemba 2025 (kwa nafasi zinazofungwa mapema).
  • 02 Oktoba 2025 (kwa nafasi zinazofungwa baadaye).

Soma zaidi: