Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Jeshi la Magereza lilitangaza nafasi za ajira tarehe 15 Agosti, 2025 kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki.
Tangazo hilo la nafasi za kazi Jeshi la Magereza Tanzania lilifungua rasmi nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Kidato cha Nne (Form IV) pamoja na wahitimu wa Stashahada (Diploma) na Shahada (Degree) katika fani mbalimbali.
- Mwisho wa kuwasilisha maombi ulikuwa 29 Agosti, 2025.
- Maombi yote yaliwasilishwa kupitia mfumo rasmi: www.ajira.magereza.go.tz.
- Majina ya walioitwa kwenye usaili magereza yatapatikana katika tovuti yao hapa https://magereza.go.tz
Onyo Dhidi ya Utapeli
Kumekuwa na taarifa za watu wachache waliowaibia vijana kwa kudai wanaweza kusaidia kupata ajira kwa malipo ya fedha. Jeshi linatoa tahadhari:
- Wananchi wawe makini na matapeli wa aina hiyo.
- Jeshi limefikisha suala hili kwa mamlaka husika kwa hatua zaidi.
Hatua Zinazofuata
- Utaratibu wa usaili kwa vijana waliokidhi vigezo utatolewa rasmi na Jeshi baada ya kukamilika kwa uchambuzi wa maombi.
Taarifa ya Jumla
Tangazo husika litakapotoka, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza atawatangazia kuwa kutakuwa na usaili wa vijana waliotuma maombi kupitia Makao Makuu ya Jeshi la Magereza. Hivyo, kwa sasa hakuna majina unapaswa kuendelea kuangalia na kufatilia taarifa mbalimbali zinazotolewa na Jeshi la Magereza Tanzania katika mitandao ya kijamii.
- Tarehe: itatangazwa na Mamlaka
- Mahali: Baada ya tarehe ya usaili vituo vya usaili vitatangazwa
- Muda: Utatangazwa
- Gharama: Malazi, chakula na nauli zitalipwa na waombaji wenyewe.
Muundo wa Usaili
- Usaili umegawanywa kwa makundi kulingana na taaluma za waombaji.
- Orodha ya majina na ratiba kamili ya usaili imetolewa na Jeshi kwa kila kada.
Hata hivyo, Kuhusu Jeshi la Magereza lilianzishwa rasmi mwezi Agosti 25,1931 baada ya mgawanyo wa majeshi ya Polisi na Magereza kutokea. Licha ya kuwa na majukumu ya kulinda usalama na mali za wageni, kabla ya mwaka 1931 Jeshi la Polisi lilifanya pia kazi za Magereza kama zilivyokuwa kwa tafsiri na madhumuni ya wakoloni. Jeshi la Magereza wakati lilipoanzishwa liliitwa Idara ya Jela ambapo shughuli zake zilibaki kuwa zile za kikoloni za utesaji wa wafungwa pamoja na kazi ngumu bila kujali kama ni ya manufaa kwao au kwa Taifa.
Sifa za Waombaji Zilikuwa ni
- Awe raia wa Tanzania mwenye Kitambulisho cha Taifa (NIDA).
- Asiwe amewahi kuajiriwa Serikalini.
- Endelea kusoma sifa za waombaji zilivyokuwa katika tangazo la nafasi za kazi magereza hapa.
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments