Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDA’s AND LGA’s) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 199 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Idadi ya Nafasi: 199 (nafasi mbalimbali)
Mwisho wa Kutuma Maombi: 22 Agosti 2025
Njia ya Kutuma Maombi: Kupitia mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) – http://portal.ajira.go.tz
Ajira mpya zilizotangazwa na Maelezo
1. Mhandisi Kilimo Daraja II – Nafasi 5
- Shahada ya Uhandisi (Umwagiliaji/Zana za Kilimo), usajili ERB – TGS E
2. Mwalimu Daraja III C – Lishe – Nafasi 1
- Shahada ya Elimu au Ualimu (Home Economics) au shahada isiyo ya Ualimu yenye Home Economics + PGDE – TGTS D
3. Afisa Hesabu Daraja II – Nafasi 30
- Module D (NBAA), Shahada ya Uhasibu/Biashara/Sanaa, au Stashahada ya Juu ya Uhasibu – TGS D
4. Mhifadhi Wanyamapori Daraja II – Nafasi 35
- Stashahada ya Uhifadhi wa Wanyamapori (Diploma in Wildlife Management) – TGS C
5. Mwalimu Daraja III B – Kemia – Nafasi 30
- Cheti Kidato cha Sita + Stashahada ya Ualimu (Kemia) – TGTS C
6. Mwalimu Daraja III B – Elimu Maalum – Nafasi 15
- Cheti Kidato cha 4/6 + Stashahada ya Ualimu wa Elimu Maalum – TGTS C
7. Mwalimu Daraja III B – Fasihi ya Kiingereza – Nafasi 19
- Cheti Kidato cha Sita + Stashahada ya Ualimu (English Literature) – TGTS C
8. Mwalimu Daraja III B – Uchumi – Nafasi 2
- Cheti Kidato cha Sita + Stashahada ya Ualimu (Economics) – TGTS C
9.Mwalimu Daraja III B – Biashara – Nafasi 12
- Cheti Kidato cha Sita + Stashahada ya Ualimu (Commerce) – TGTS C
10. Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi – Nafasi 18
- Astashahada ya Elimu ya Michezo/Sayansi ya Michezo/Sports Management/Sports Coaching – TGS B
11. Fundi Sanifu Daraja II – Maji – Nafasi 1
- FTC au Stashahada ya Rasilimali za Maji, ujuzi wa kompyuta – TGS C
12. Afisa Utamaduni Msaidizi – Nafasi 10
- Astashahada ya Utamaduni (Chuo cha Sanaa Bagamoyo au kinachotambuliwa) – TGS B
13. Fundi Sanifu Daraja II – Umwagiliaji – Nafasi 1
- FTC au Stashahada ya Umwagiliaji – TGS C
14. Opareta wa Kompyuta Msaidizi II – Nafasi 10
- Astashahada ya mwaka mmoja (Basic Computer Operations, OS, Application Programs) au Fundi Sanifu Kompyuta – TGS B
15.Afisa Biashara Msaidizi – Nafasi 40
- Stashahada ya Biashara – TGS C
16. Mpishi Daraja la Pili II – Nafasi 20
- Cheti (≥ mwaka 1) Food Production – TGS C
Masharti ya Jumla Muhimu:
- Awe Mtanzania, umri ≤ miaka 45
- Wenye ulemavu wanahamasishwa kuomba
- Ambatanisha CV, vyeti vya kuzaliwa, elimu na taaluma vilivyothibitishwa
- Vyeti vya nje ya nchi vihakikiwe na TCU/NECTA/NACTE
- Wastaafu hawaruhusiwi bila kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi
- Hakuna kukubali result slips, testimonials au provisional results
Jinsi ya Kutuma maombi
Mwisho wa kutuma maombi: 22 Agosti 2025
Maombi yatumwe kupitia Recruitment Portal: http://portal.ajira.go.tz
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments