Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora inapenda kuwataarifu Watanzania wenye sifa na uzoefu kuhusu nafasi mbalimbali za ajira zilizotangazwa na taasisi za kimataifa: UNESCO na Umoja wa Afrika (AU).
Nafasi za UNESCO
Kituo cha kazi: Paris, Ufaransa
Mwisho wa maombi: 11 Agosti, 2025
Nafasi | Ngazi | Idara | Mkataba | Muda |
---|---|---|---|---|
Programme Specialist | P-4 | Social and Human Sciences | Fixed Term | Miaka 2 (inaweza kuongezwa) |
Taarifa kamili na jinsi ya kutuma maombi:
https://careers.unesco.org
Nafasi za Umoja wa Afrika (AU – AfCDC & AUC)
Kituo cha kazi: Addis Ababa, Ethiopia na Cameroon
Muda wa Mkataba: Fixed term na Regular
Nafasi Mpya (Deadlines: 11–18 Agosti, 2025)
Nafasi | Idara | Ngazi | Deadline |
---|---|---|---|
Lead Warehouse & Distribution | AfCDC | P4 | 18 Agosti |
Senior Planning & Forecasting Officer | AfCDC | P3 | 18 Agosti |
Senior Quantification & Data Visibility Officer | AfCDC | P3 | 14 Agosti |
Finance Officer | AfCDC – APPM | P2 | 18 Agosti |
ERP Officer – Material Mgmt | AfCDC | P2 | 18 Agosti |
Transport & Logistics Officer | AfCDC | P2 | 11 Agosti |
Nafasi Zilizotangazwa Tena (Re-advertised)
Nafasi | Idara | Ngazi | Deadline |
---|---|---|---|
Market Intelligence Officer | AfCDC | P2 | 11 Agosti |
Medical Warehouse Mgmt Officer | AfCDC | P2 | 11 Agosti |
Quality Assurance Officer | AfCDC | P2 | 11 Agosti |
Assistant Accountant | AUSC/AUC | GSA5 | 4 Agosti |
Assistant Accountant | AUC/PAPS | GSA5 | 4 Agosti |
Fursa ya Mafunzo ya Kazi (Internship)
- Mahali: Addis Ababa, Ethiopia
- Deadline: 31 Desemba, 2025
- Ngazi: GSA3
- Idara: Mbalimbali
Taarifa kamili na namna ya kutuma maombi:
https://careers.au.int
Utumaji wa Maombi (Nakala kwa Serikali):
Waombaji wote wanatakiwa kutuma nakala ya maombi yao kwa anwani ifuatayo:
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mji wa Serikali Mtumba,
Barabara ya Utumishi,
S.L.P 670, DODOMA
dhrd.tc@utumishi.go.tz
Angalizo:
Waombaji wote wanapaswa kufuata masharti yaliyowekwa kwenye tovuti rasmi za ajira za UNESCO na AU.
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments