Nafasi za Kazi Kutoka Benki ya Mwanga Hakika

Nafasi za Kazi Kutoka Benki ya Mwanga Hakika
Nafasi za Kazi Kutoka Benki ya Mwanga Hakika

Nafasi za Kazi Kutoka Benki ya Mwanga Hakika (MHB) ni benki ya kibiashara kamili inayomilikiwa kwa 100% na Watanzania. Tumejipanga kutoa huduma bora za kibenki na kusaidia maendeleo ya kifedha kwa watu wote nchini.

Tuna nafasi kwa watu wenye shauku, juhudi, na uzoefu kujiunga na timu yetu inayokua kwa kasi. Kama unatafuta taasisi ya kisasa na yenye maono makubwa, basi hii ni fursa yako!

Kusudi la Nafasi Hii

Kama Meneja wa Fedha, mtu atakayechaguliwa atakuwa na jukumu kubwa la kusimamia na kuongoza shughuli zote za kifedha na uhasibu katika makao makuu na matawi yote ya MHB. Atashirikiana kwa karibu na wakuu wa idara kuhakikisha kuwa masuala ya kifedha yanaendeshwa kwa uwazi, kufuata taratibu za kisheria, na kutoa ripoti kwa wakati – yote haya yakilenga kufanikisha malengo ya muda mrefu ya benki.

Bonyeza hapa kutuma maombi

Soma zaidi: