Orodha ya Tahasusi za Kidato cha Tano 2025 Combination (MOEST)

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Orodha ya Tahasusi za Kidato cha Tano 2025 Combination (MOEST) Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Tanzania imeanzisha tahasusi mpya 49 kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha Tano, kuanzia Julai 2024. Hatua hii inalenga kupanua wigo wa masomo na kuwawezesha wanafunzi kuchagua mwelekeo wa taaluma unaoendana na uwezo na malengo yao ya baadaye.

Tahasusi za Kidato cha Tano

1. Tahasusi za Sayansi (Science Combinations):

  1. PCM – Physics, Chemistry, Mathematics
  2. PCB – Physics, Chemistry, Biology
  3. CBG – Chemistry, Biology, Geography
  4. CBN – Chemistry, Biology, Nutrition
  5. PGM – Physics, Geography, Mathematics
  6. PGMc – Physics, Geography, Computer
  7. CBM – Chemistry, Biology, Mathematics
  8. PMCs – Physics, Mathematics, Computer Science
  9. CBCh – Chemistry, Biology, Chinese

2. Tahasusi za Biashara (Business Combinations):

  1. EGM – Economics, Geography, Mathematics
  2. ECA – Economics, Commerce, Accountancy
  3. HGE – History, Geography, Economics
  4. EBuAc – Economics, Business Studies, Accountancy
  5. BuAcM – Business Studies, Accountancy, Mathematics
  6. ECsM – Economics, Computer Science, Mathematics

3. Tahasusi za Sanaa na Lugha (Arts & Language Combinations):

  1. HGL – History, Geography, English
  2. HGK – History, Geography, Kiswahili
  3. HKL – History, Kiswahili, English
  4. HGCh – History, Geography, Chinese
  5. HGF – History, Geography, French
  6. KLF – Kiswahili, English, French
  7. KArCh – Kiswahili, Arabic, Chinese
  8. LFAr – English, French, Arabic

Tahasusi za Michezo (Sports):

  1. Sports, Physical Education and Nutrition
  2. Sports, Physical Education and Biology
  3. Sports, Physical Education and Geography

Combination za Kidato cha Tano

Tahasusi hizi ni sehemu ya juhudi za serikali kuimarisha ubunifu, ujuzi wa karne ya 21 na kuongeza ulinganifu wa soko la ajira na elimu.

Muhimu kwa wanafunzi:

  • Wanafunzi wa Kidato cha Nne 2024 waliruhusiwa kubadili tahasusi kupitia mfumo wa SELFORM hadi 30 Aprili 2025.
  • Hii ilikuwa fursa ya kupangilia upya mwelekeo wa kitaaluma kulingana na ufaulu na matamanio yao ya baadaye.

Kwa maelezo zaidi na orodha kamili ya tahasusi mpya, unaweza kutembelea tovuti rasmi ya Wizara ya Elimu au Tamisemi https://selform.tamisemi.go.tz/tahasusi au kusoma tangazo rasmi la tahasusi mpya za Kidato cha Tano 2025

Soma zaidi: